
Nilikuwa nafanya bizz ya Eggs Selling na dooh nilipata hapo for the past 2 and a half years iliniwezesha kufungua bizz ingine yenye nimeinvest in sasa and it has a really good income. Bizz ya briquettes ndo napush sahii na nimeajiri wasee wawili wenye hunisaidia. #MyWorkSpaceChallenge.



0
0
0