Nilikuwa napenda Mesh kufa kuzikana. But vitu naziona sai kwa group kuna shida mahali. Mnatuna number za simu but bado mnamaliza 2weeks kulipa 12members! Whats if tuneza kuwa over 1000 members?? Bad impression 😦😔