Nilikuwa nauliza ni aje msee anaeza fuatilia progress ya biz yake if ana mek enough profit from zile vitu anauza, nadai kuwa na plan poa nayo...