Niliona story Twitter imenigonga sana.
Jamaa alikuwa na 80K ya mpesa shop – pesa ya kazi, float & rent.
Minute 28 game ikiwa 2–0, odds 1.20 kwa over 2.5, akaona ‘sure bet’ ya kupiga 16K profit alipe rent.
Aliweka 80K yote… game ikaisha 1–1.
Akamcall boy wake akilia.
Hii imenikumbusha kitu moja: betting si hustle na si emergency plan.
Ukianza kutumia pesa ya biz (mpesa, stock, rent) kubet, umeingia zone ya kuharibu future yako na credit history yako.
Meshers, tukuwe real –
- Ushawahi tumia pesa ya kazi kubet? Iliishia aje?
- Na mtu ako kwa hiyo loop sa hii, ungemshauri nini?
0
0
0