Nilipanda Sukuma after kumea nikaanza kuuza na I was earnings though not that much juu watu wengi hawakuwa wanajua nauuza but after kuadvertise nilipata customers . Shinda ya hii ilikuwa Hawa wadudu hukula Sukuma na ilihitaji spraying na chemicals zilikuwa expensive. Then pia Sukuma zilikuwa zinaisha na ilibidi ningoje zimee ndo niendelee. Afu tena nikajaribu online bizna ya kujibu survey then they pay. Inaitwa ODiNARE the problem with this it has low pay and u have to answer as many surveys as possible but also they have maximum number of survey one can answer per day. Otherwise it kinda good because unaearn something small instead ya kukaa tu.

0
0
0