
Nilipata mtoi Nikiwa college first year, Matha na Buda wakateta Sana, coz I failed them being their firstborn,, hawakunifukuza but, I was feeling guilty and disappointed,, I decided my self kutoroka home, nianzie maisha yangu. So sikuenda mbali, area ya shule ndio tu nilisettle. Nikatafuta nyumba that rent yake haitani stress kulipa, nikapata ya1500. I started Kazi like za house help,,, nikaanza kuhata classes ndio nisake dooh at least to prepare for my kid coming, kubuy nguo, and stuff. So I used to miss classes even for a week,, nafulia watu nguo, kuwachotea maji and more. I was not worried that bol ilianza kupop out,, I continued to work. Savings zangu zikaincrease,, later on after 9months I delivered my son. It was hard for me to continue na Hustle,, I went for 2 months break, then nikarudi Kwa hustles na masomo,,pia nilitafuta mmatha to look after my kid. The savings I had nikafungua job ya kuuza waru na makaa at least ni graduate Kwa good house na mtoi Pia apate needs. GOD alinihelp Nika Maliza college, mtoi akagrow vipoa, na dooh haikua inakosa. After wards nilichukua loan ya 30k, nikaanza biz ya malimali shop, na kuuza wears online, like bags, shoe, mostly women's wear. Life yangu ili change coz I did not loose hope, my kid ni mkubwa Sasa,, and I do get good money yenye I can buy lixuries, basic needs and save,, am aiming to have my big hotel in some years to come.