
Niliuliza majuzi hivi kuhusu kuchukuwa loan kufanya ama kuendeleza biz kama ni fiti na nilipata response tofauti na hii ndio ni opinion yangu. If you want your money to grow, you have to spend money. Ukijua unaweza manage biz vizuri ama kama biz yako inaendelea vizuri ongeza capital. Na one of the ways ya kupata capital ni kuchukuwa loan. Loan ni capital fiti sana kama usha survey ukajua hii biz itakuwa profitable ama kama biz yako ni already profitable. Kama msee wa biz usiogope kuchukuwa loan. Juu zinaweza enhance scope ya biz yako na ikusaidie ku expand . Before uchukuwe loan; kuwa na business plan fiti Chapa mahesabu ujue flow of cash itakuwa fine Alafu pia uchukuwe loan kama return on capital itakuwa mingi kushinda loan interest.
0
0
0