
Nime-watch video ya Janet hapa MESH na ako kwa biz ya Transport & Automotive. Ana-share experience yake, vile alichukua loan ikajenga biz yake na challenges ana-face as a lady in this business. Click link ku-watch alafu tuchapiane kwa comments thoughts zako.
https://mesh.life/app/watch...
0
0
0