
Nimeachieve mengi, first nilianza kuuza mutumba, kupata mawaidha hapa mesh nikaanza kusave pesa kidogokidogo. Later ndio nilianza biashara ya kuuza electricals na malimali. Saa hii nadeal na vitu kubwa kama new tvs na systems. Mesh imesaidia sana #Teammesh
0
0
0