
Nimeambiwa niulize kama Mesher wanakubaliana na hii phrase "Kitchen Maneno's, rather, responsibilities, ni 50/50 affairs; both chali na dem"...
👉True 👉False
Kama uko either camp, make sure umejoin Kitchen Master Group. And share na sisi some of your favourite recipes na kitchen hacks we get to learn from you.

0
0
0