
Nimeandikwa kazi but nataka kuopen my own nikue self employed. Nikona savings but hazitoshi na ninaogopa kuchukua loan coz in case biz isipojipa nitalipaje io loan?? Community icome through na advice. Option ingine niendelee kuajiriwa niandike mtu but sasa io ni extra spend juu nitahitaji kumplipa so nashindwa ka nichukue loan ama niendelee kusave
0
0
0