Nimeanzisha dropshipping ya furniture December na nimeshika hadi leo. Nilitumia 100k startup capital, lakini majority ilienda kwa rent ya nyumba (5k) na shop (4k), na logistics zingine za kuanzisha.
Miezi miwili ya kwanza haikuwa na faida—iyo pesa ya startup ndo ilieka biz juu. Mwezi wa tatu, form ilijipa: nili-make sales za 150k, profit ilikuwa 30k. Ila zili-affect cashflow sababu:
Nilitumia mob kwa shipping & materials (rangi, tools, manpower)
Delays kwa delivery zili-strain brand kidogo na capital
Current Position:
Tools: 20k value
Cash in hand: 9k
Stock (semi-done & ready): 40k value
Ninahitaji nini: Investor wa plywood tu—not cash. Nakuuza 20% share ya biz. Wewe una-supply plywood, mimi natengeneza, tunauza, alafu tunalipana vile stock inaingia bank.
Why It’s Worth It for You:
Risk ni low—hauleti cash, unaleta material (ambayo ukitaka unai-recover in kind)
Niko na system ya kuuza, tools, experience ya 5+ months, na stock ina-move
Uko na say kwa decisions (kama shareholder)
Nikifail kuuzia, bado unakuwa na material zako na tools za kutengeneza chochote


