
Nimeenda kwa ma highschools kuongelesha students about the importance of staying in school and the consequences of teenage relationships,drug abuse,peer pressure and Teenage pregnancies since nilipata mtoi wangu pia nikiwa teenager na nfeel ata kama Kuna masomo life skills pia ni important ndio ilinidrive kumotive students na mayouth uku ni KWAKATHULE SECONDARY SCHOOL IN KANGUNDO, MACHAKOS COUNTY

0
0
0