Nimegundua kitu- siasa inapigwa sana kwa gari. Nmepanda gari from Mombasa tu Nairobi na watu wanaongea siasa tuuuuuuuu!!!🤣