Nimegundua kitu. 👀
Watu wengi hawaachi bookkeeping juu biashara ni mbaya.
Huicha juu biashara imeanza kushika. 😅
"Nitarekodi next week."
Next week inakuwa next month.
Ukigeuka...
Receipts zimejaa kila mahali.
M-PESA haisomeki.
Na hujui kama pesa unaona ni sales ama profit. 😂
Biashara ikikua, bookkeeping haipaswi kupungua.
Inafaa iwe better.
Ni habit gani huwa unapoteza biashara ikianza kuwa busy? 👇
0
0
0