
Nimehama business ya botique kiasi juu ya situations sai nimeingia garissa place inaitwa masalani nimeanza business ya chipo though haijapick but customers wako and also nime employ youth mmoja ambaye anarun business along side me azn business yangu is all about kujijenga kama youth man na kusimama na youths wengine, am looking toward to open a eatery lakini sai Niko na kashop kachipo , fryer, chopper kitu na lack ni display box, najuwa business hutoka far but once I grow just like in other business my first priority watakuwa meshers so lets state together lakini hii business ya chipo inalipa kam unataka kuventure dm i can share how I have started again
0
0
0