
Nimejoin mesh leo.. For me nilikuwa nauza nguo online kutoka 2020 November biz ikapush adi 2021 Dec... Ilikuwa sawa na nilikuwa na manage kulipa bills. But then ikaanguka tu once sijui kwa nn ..but n hiyo platform nilikuwa natumia ilijaa scammers watu wakaacha kushop online. Na believe sijajoin mesh bure. Biz itajipa tu tena. Vitu nauza n kama 👇👇. I believe with mesh tutasonga. PALAZZO @650

0
0
0