
Nimekaa hivi nikaona venye hii economy imekua expensive itakua ngumu sana for me to buy a Camera. Itabidi nishike stabilizer moja safi nimount my camera hapo nichukulie hii content creation 2024 with some seriousness. Huu mwaka naskia wakisema ni mwaka ya kuforce, lazima mniite boss. Anyway tebu you guys mnishow stabilizer kaa hii inaeza kua inatoka how much?

0
0
0