Nimekua nikicheki wasee wakisema wamelearn skills different. Vitu zikirudi normal, skill ume-learn itakusaidia kumake doh?
#MyHustle