
Nimekua nikifanya most transactions kwa mpesa, I needed ile loan ya gava nikaambiwa i need 6 months statement ya bank, so ilibidi nikae nijenge statement yangu pole pole, I wanted to buy another better camera, some extra lights to my studio too. If Eneza inaweza raise the amount, to ata 200k ivo, then even monitor our business, check our plan na potential inaweza okolea, I am still thankful for zile mnatujanga. Am happy.
0
0
0