Nimekuja kunotice ata ukiwa na biz fitty aje na products kali aje, sales bado zitakuwa low kama hupromote biz yako. Lazima unamake biz yako visible by posting regularly na if possible enda uhawk.