
Nimekuja na vitu motomoto, Yani "super Napier grass, yenye itakusadia kwa ng'ombe wko wakati wowote, iwe kiangazi ng, ombe wko watakuwa na lishe Bora na wenye kutowa maziwa kwa wingi, Kuna method moja Bora sana utatumia kupanda nyasi hii. Ambayo inaitwa "Tumbukiza, it has several benefits for dairy farmers, including better growth in the try season and more milk , jaribu hii nyasi, uanishukuru baadae


0
0
0