
Nimekuwa kwa counter ya Cooking Oil. Na hivi ndio my local vendor bei zake ziko. Za Ruiru ntawangalilie very soon☺☺. All ni 1L.
🍳 Rina Cooking Oil 408/= 🍳 Kimbo Premium 374/= 🍳 Golden Fry 358/= 🍳 Avena Vegetable 350/= 🍳 Bahari Fry 347/= 🍳 Dola Vegetable 346/= 🍳Ufuta Pure 347/= 🍳PIka Pure Vegrtable 336/= 🍳Kapima 312/=
Hood yako prices zinachezea wapi?

0
0
0