
Nimekuwa kwa cyber business and baada ya covid, biz ilikuwa affected saaana, hadi saa hizi haijawahi rudi tena back to normal. Yes bado niko kwa the same field but nimekuwa na thoughts za how to change the biz juu saa hizi ile doh! tunamake ni ya kupay bills alone. Hakuna savings ama ata ya ku pump kwa capital. Saa ingine inabidi hadi kuchukua from other sources ndio atleast kubaki a float. #SisiNiMesh
0
0
0