
nimekuwa na hard time kiasi,, mostly when it comes to prices za products,,, wasee wengi hawakuwa ready kuskia hizo story za price hike,,,like sai wengi wanadai ni better waendee cheap hata kama ni mbaya eg nyanya za 3=10 hata kama ni zile bondeka than fresh za 1=5 Economy iko pabaya🤔
0
0
0