Nimekuwa najiuliza, mbona iyo article ya Celebrating biz of the week Haina likes mingi na comments. Kumbe una tap tu ndani apo then una comment ?? Mesh mngetuchanua mapema yaawa. 🙆🫣