Nimekuwa nikitafuta gigs kwa most platform mostly ni pale Twitter kama unamjua mtu pale Twitter anapeana gig unaeza niconnect na yeye ama anidm @amohh_snr