
Nimekuwa selected a few kwa hii competition ya MbeleNaBiz round one. The deadline ya submission ya wenye wali win ni 24th hii mwezi, kama uko poa na writing proposal ebu inbox tuone vile tunaeza partner. Looks promising saana. But kuna ka course ka one day lazima u complete ndio tuipimp the proposal yenyewe. Juu ya Rona walitupiea pia options ya kuchange the Biz plan from yenye I initially wrote. So pia kama kuna Mesh'ers hapa wako na idea noma nione pia inbox we see vile hii story inaeza enda. Timeline iko tight kiasi.
0
0
0