Nimeona biashara mingi huanza na hope, na kufa na kimya.
Kwanini? Sababu hakuna system, hakuna mpango wa kugrow, na hakuna njia ya kuleta trust kwa customer.
Najua hii game—ndio maana naoffer digital foundation kit kwa entrepreneurs wanaanza biashara.
Hii kit ina: ✅ Facebook bio + page updates ✅ Post 4 ya biashara yako ✅ Google Business Profile setup ✅ Njia ya kukusanya reviews kutoka kwa customers
Kama ungetaka hii kitu (ni ya biashara yoyote) niandikie “KIT” inbox. Nipee details zako na nianze kukusaidia. Ni sare kwa the first 3
0
0
0