Nimeona Prezo anafanya Youth Empowerment pale state house Nairobi
Swali yangu ni Akianza hivi si sasa anafaa kuifanya kwa every county ama?