Nimeona watu wakicomment mahali that you cannot start biashara na loan. What do you guys think, mtu anaweza anzisha biashara na loan ama hawezi?
Engage me