
Nimeparticipate kwa competition kadhaa za Shujaaz Distributors. My first was 2017 social media mobilization which I won and DJ B akapromote hustle yangu na stock poa saana. Won zingine kadha there after including setting a record ya 2,894 users wenye walinivotia kwa USSD platform. Hizi compe uni remind the importance ya kukuwa na good network na ma youths kwa mtaa. Juu wao ndio u work as a group pulling everything pamoja.
0
0
0