
Nimepatana na hii post ya Infaltion iki-compare the prices of goods in May 2024 vs May 2025!!!
Inflation ni nini??? Inflation ni when the prices of goods & services zinaenda up over time.
Budget inasomwa 12th June, inflation inaku-affect aje as a consumer na kama msee wa biz???

0
0
0