Nimepitia kibanda kupata breakfast, alafu kijana mmoja anaingia. Anauliza mathe kama anaweza kupata chai na chapo, alipe jioni akitoka mjengo. Apparently, site anafanya iko hapo karibu.
Mathe anamwambia hapana, yeye hatoi chakula kwa deni.
Sasa Meshers wenye mko na vibanda, how do you get to a point where you can't even trust someone working at a construction site next door with a cup of tea na chapo? 😂
I understand biashara ni biashara na hakuna mtu anataka hasara. But surely, kuna mahali humanity inaingia.
Swali ni: Biashara ikianza, marafiki na majirani wanakuwa strangers? Ama kibanda haijui marafiki?
#BusinessTalk #Meshers #Kujengana
0
0
0