Nimepitia Vida ya Godfrey manze nimebambika nayo vimejja..goddy amebonga fiti kuhusu ii mesher app na pia amebonga juh app vismart...kitu nmebambika sana na goddy amedai Kuna many app unajoin then unaforget password but mesh app ukishajoin n hivo password yako unakuwa maintain hapo kwa app...kazi ako n kuingia anytime ama anyday umekiskia kulogin kwa mesher app...na pia goddy amedai Kuna mesh imekam up na application fulani thou nmeforget but pia amesema iko viswanky
0
0
0