Nimerealize kwa cyber most wasee hawafanyi typesetting, mbona? Ama wakifanya wanaoutsource msee awafanyie at a fee. Typesetting ni skill moja unafaa unajua ukianza hii biz, na inalipa pia.