nimestruggle kuanza kulea izi broilers in had no capital nikajichanga nikaanza na 20 chicks zikanipea profit kidogo but nikajituma sai nimefika 50 na aim at 100 but that a win to me