
Nimetoka mpali. Natoka Bukembe West in Bungoma county. Sijaikanyaga shule. Buda aliachana na mathe nikiwa 6 years. Niko na brathas wanne na sistas 4 so tuko watoto 9. After kuachana, mathe akatry kutusupport ili tusilale njaa. Lakini ugonjwa pia ikamchukua ikabidi mimi kama first born nichunge watoto wetu. Nilikua naamka 3 kuenda kulima shamba yetu alafu kitu 6 naenda kulimia watu wengine ili watupee at least chakula ya hiyo siku. Baada ya miaka kadhaa nikaenda Nairobi na kupia mahasle hapa na pale. Pesa nilikua napata nilikua natumia watoto wetu home. Nimeeza kusomesha 6 of them na wengine wanafanya jobs ndogo ndogo. Mimi ni saloonist na siku moja nitafungua salon na boutique yangu
0
0
0