Nimetry kuapply loan ya eneza biz na imekataa inasema I have not qualified for the loan yet nilipata text ya nimequalify kupata loan