
Nimeweza ku increase products zangu za electronics kitu sikuwahi fanya apo nyuma.then profit pia imeongezeka kiasi. Tangu nianze hii biz sikuwahi pata kaprofit fiti kama round hii.thanks #meshers kwa tactics na plans za ku improve biz. Online services pia zina jipa vizuri sana


0
0
0