
Nina furaha sana kuwa mesh,nimepata loan yenye at least naeza anzia biz,nataka kuanzisha biz ya kuuza cereals though bado nafanya uchunguzi wa being ya hizi bidhaa Kwanza ndio nijue ntaanzia wapi.Asante Sana mesh.YOU GOT MESH ,YOU GOT EVERYTHING
0
0
0