
Ningeanza biz ya kuuza smocha🤔, hii biz ushika Sana sana majioni☺️, so strategy yangu ingekuwa kusaka place strategic kama kwa junction hivi, mahali wasee upitia mostly ama karibu na shule ama campus hivi, juu comrades ndio wangekuwa target audience wangu 💯💪
0
0
0