Ningependa kuanza hustle ya kuuza mayai ,yaani fresh eggs either in retail ama wholesale but capital inanilemea ,mtu yeyote ambae anaeza come through tusaidiane si ujitolee manze ,am serious about this ,Natoka siaya around Yala
0