Ningependa kuuliza tu kubalance bizna yako na family members hukuaje cz inafika point unataka kuprogress unakuta family members wanataka loan sana kutoka kwako ukikosa kutoa unakua Ka adui ndio ukicreate good relationship msee anafa adu nini
0