
Nishaipata job pale LinkedIn, looked so legit hadi nikaanza kuona payslip kwa ndoto 😅. Acha nikwambie, on arrival kulikua na watu wengi tu, all dressed for interviews. Tukachukuliwa kwa training room, kumbe ni AIM Global 😂ðŸ˜! Nikahisi nimescamika live. I even ironed my shirt for this nonsense 😔. Meshers, mshaipata job offer legit kwa macho but kumbe ni network marketing ama pyramid scheme? Ama mimi ndio nililala kwa job hunting?"

0
0
0