"Nitakuwa na pesa ya kusurvive next month?" š¤
Watu wengi hudhani jibu ni sales.
Si kila time.
Wakati mwingine ni gap ya siku 30. š
Supplier anakupa stock leo.
Anataka alipwe baada ya siku 30.
Customer anachukua stock leo...
Lakini atalipa baada ya siku 60.
Hapo ndipo cash flow huanza kusumbua.
Si juu huna sales.
Ni juu pesa inatoka faster kuliko inaingia.
Ndio maana si sales pekee zinacount.
Jua:
š° Nani unamdai?
š Nani unamdaiwa?
Cash flow ni game ya timing.
Profit inaweza kuwepo kwa books.
Lakini cash ikosekane kwa account. š
Wewe umewahi jipata kwa hiyo 30-day gap? š
0
0
0