Nitatumia social media platform zangu kupush the agenda ya kujengana through #MESH na pia kuenda ground kuelezea watu what's the platform is all about hata kupitia word of mouth.