Njugu karanga inalipa wajamaa, Mimi huichapa kama side hustle after job na familia yangu inakuwa sorted hatulali njaa.