Nko na biz ya kinyozi na shalon , though inafaa nimechange face ya shop. Finance's ndio challenge.... Naeza ingiza doo poa ikiimprove condition