Nko na bizz ya beauty,natafta msee ama dem akue reliable anajua Ku suka ama Ku shave vizuri. ,na pia kama anajua zote ni fiti, payment ni commission, 50/50. Location makuyu.